Baadhi ya maeneo jijini hayana umeme kwa karibu masaa 36.


Ndugu yangu:
umeniogopesha hadi nimebanwa mkojo. ngoja nijikague huenda nshajikojolea!!!!!!!!!!! .........!
hii habari kama ni ya ukweli ni mbaya kuliko JK kuapishwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Inaonekana kwamba watu wameridhika na hiyo shida ya umeme. Kama kweli ingekuwa kuna kero basi tungeona watu mitaani. Alafu ngoja itokee nafasi wazi ya ubunge ama udiwani, guess what? nani atashinda..............CCM!!
Watu tuache vilio vya kujitakia.
 
Hili halivumiliki sasa, Jamani huku dar sasa kuna baadhi ya maeneo hatuna umeme kwa jaribu masaa 36 sasa. Mimi nipo kigamboni na mara ya mwisho umeme tuliuona jana asubuhi. What the hell is this..?
Chagua CCM kwa maisha bora
 
Mbona mnazidi kuvumilia maana sijasikia mkiandamana kwenda ofisi za Tanesco kuwashinikiza wawapuynguzie hayo makali. Nadhani kwa namna moja shida za kukaa gizani mmezizoea.

Kwani kaka uko Ulaya au
 
Hili halivumiliki sasa, Jamani huku dar sasa kuna baadhi ya maeneo hatuna umeme kwa jaribu masaa 36 sasa. Mimi nipo kigamboni na mara ya mwisho umeme tuliuona jana asubuhi. What the hell is this..?
tuliwapa kura wenyewe ndio matunda yake hayo ndugu yanu
 
someone amwamshe nyerere aone mkwerre anapoipeleka hii nchi coz huyu jamaa kashindwa kuongoza nchi an wa2 wakiongea yeye na jamaa zake wa chama cha mafisadi wanasema ni cdm. wakati ata kipofu anaona jinsi nchi inavyokwenda mrama, hatuwez kusubiri kudra za mungu mpaka atupe mvua wakati ametupa uwezo wa kapambanua an kuyatawala mazingira.its a shame for a country with 50 yrs old kuwa gizani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…