Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Kigoma kukosa maji ni kero? Wanaweza kuishi bila maji ya mfumo rasmi!Maeneo ya Kazegunga, Msimba, Kasaka hawana maji zaidi ya wiki. Watu hutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya ya binadamu. Ziwa liko km 10 tu lakini maji hayatoki. Wahusika wachukue hatua mara moja kuondosha kero hii.