Maeneo ya Kazegunga, Msimba, Kasaka hawana maji zaidi ya wiki. Watu hutumia maji ya visima ambayo si salama kwa afya ya binadamu. Ziwa liko km 10 tu lakini maji hayatoki. Wahusika wachukue hatua mara moja kuondosha kero hii.

Hii inaonesha Ni kiasi gani meneja wa ruwasa wa huko asivyokua na akili.
Maji yapo ziwani Tena juzi juzi yalikuja mpaka mjini. Umeme kwa Sasa upo wa kumwaga, ma injinia ndio usiseme.
Fukuzeni kazi huyo wekeni muha mwenzenu mwenye uchungu na mkoa wa Kigoma.