Elections 2010 Baadhi ya maeneo mjini arusha umeme umekatika

Elections 2010 Baadhi ya maeneo mjini arusha umeme umekatika

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
2,219
Reaction score
371
Wana JF,

Tarifa nilizo zipata muda si zaidi ya 10mins kutoka Arusha Kuna maeneo ya mji huo umeme umekatwa na wako giza tororo, Wakati kura zahesabikana umeme umekatika kwa 10mins na kurudi
.

Pia wanasema kura za ubunge ati zinatakiwa zikatangazie Manispaa. Je ndivyo makubaliano yao ilikuwa hivyo au kila kata inatoa nanmshindi?? kwa upande wa mbunge katika jimbo hilo?
 
ndiomwanzo wa kuchakachua huo.kwanini umeme uzime sasa?
 
Uwezekano wa kuchakachua ni mdogo matokeo ya vituo vingi yapo nje nje...................yamebandikwa
 
Swala la umeme tumeliongelea sana, kama TANESCO ni wazalendo wa kweli leo wasikate umeme kabisa.
 
matokeo ya awali kutoka iringa watch star tv
 
matokeo ya awali kutoka iringa baadhi ya maeneo watch star tv
 
Kuna maeneo ya vijijini imebidi magari yamulike kuhesabu kura!
 
Watch and mwaka hapa mkuu maana sio wote tuko home jamani....tujuzane hapa jamvini
 
matokeo ya awali kutoka iringa baadhi ya maeneo watch star tv

Mkuu si ungetuletea ulichoona na kusikia wengine tupo pori
 
Ndo taabu ya TANESCO hawajui kuwa wao ni waajiliwa wa Serkali na sio CCM
 
kwa Arush hadi sasa hatuko pabaya sana, kwani tuna matokeo ya vituo vyoooote na kata nyingi zaidi ya 10 tunaongoza kwa mbali ktk nafasi zote kuanzi Urais hadi udiwani. Hivyo basi kuna ukakasi ktk kubadili matokeo,
 
Nilivyo sikia ati kuna mahali kama njiro matokeo hawaja tangaza wara arumeru West/East je hizi ni kweli au??

Kwa habari nilizo zipata toka huko-Arusha, kwa mtu wa karibu sana mpaka tundapo mitamboni na yuko kwenye mchakto wa jimbo la Arusha Mjini, Diwani wa Kaloleni CCM Chali,Levolosi CCM nae Chali, Njiro CCM nae Chali,Mayor wa arusha mjini CCm nae Chali,Ngulelo Chadema Chali, na kwa ubunge Lema amemuacha Batilda mbali sana na detalis alizonipa zingine ni Confidential kaniambia nisiziseme kwanza
 
matokeo ya awali kutoka iringa baadhi ya maeneo watch star tv

Mkuu si ungetuletea ulichoona na kusikia wengine tupo pori

Sana sana habari ya mwisho ni Iringa Mjini CHADEMA wana tamba sana matokeo ya awali

Sana sana habari ya mwisho ni Iringa Mjini CHADEMA wana tamba sana matokeo ya awali wameongoza kwa asilimia kubwa sana
 
Mkoani Lindi CCM= Rais anaongoza , CUF=Ubunge na udiwani wanaongoza mpaka tuendapo mitamboni katika matokeo ya awali
 
Huko Geita matokeo yameisha bandikwa vituo Saba ila wananchi wako mbali kutoka katika kituo kuhofia askari kwa kauli zao zile za kuwa raia wawe mbali M200 na mchuano ni mkali sana kati ya CHADEMA na CCM wanapishana alama chache sana
 
Back
Top Bottom