Wana JF,
Tarifa nilizo zipata muda si zaidi ya 10mins kutoka Arusha Kuna maeneo ya mji huo umeme umekatwa na wako giza tororo, Wakati kura zahesabikana umeme umekatika kwa 10mins na kurudi
.
Pia wanasema kura za ubunge ati zinatakiwa zikatangazie Manispaa. Je ndivyo makubaliano yao ilikuwa hivyo au kila kata inatoa nanmshindi?? kwa upande wa mbunge katika jimbo hilo?
kwa Arush hadi sasa hatuko pabaya sana, kwani tuna matokeo ya vituo vyoooote na kata nyingi zaidi ya 10 tunaongoza kwa mbali ktk nafasi zote kuanzi Urais hadi udiwani. Hivyo basi kuna ukakasi ktk kubadili matokeo,