Tella Mande
JF-Expert Member
- Jun 2, 2018
- 494
- 675
Sijui kama hili ninaliona mwenyewe au la.
Nilikuwa safarini kutoka Dar kwenda Katavi. Njiani nimepitwa na magari ya serikali yakiendeshwa kwa mwendo kasi, overtake za hatari, wrong site na taa zimwwashwa mchana kweupe.
Barabara ya Dar kwenda dodoma na dodoma singida ndo zimetia fora.
La kushangaza ndani ya gari kuna kiongozi. Kanyamaza kana kwamba haoni kwamba dereva anavunja sheria na anahatarisha maisha yao wote kwenye hilo gari.
Ni ajabu nyingine kwamba na polisi hawawakamati.
Imekuwa ni mtindo kuwa ukitaka kuwahi subiri gari ya serikali ikupite we unaunga nyuma. Nimewaona wengine wakifanya hivyo.
Mbona swala hili limefumbiwa macho?
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app