Baadhi ya Makada wa Chama cha Democrats wataka Biden Asigombee Urais

Baadhi ya Makada wa Chama cha Democrats wataka Biden Asigombee Urais

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
Mtandao wa CNN umeripoti kuwa Baadhi ya Makada wa chama cha Democrats wametaka Rais Joe Biden ajiondoe kama mgombea wa Urais wa chama hicho

Wanachama hao wameonesha kutokuwa na imani nae baada ya kushindwa kutetea hoja zake kuonesha hali ya kusita na sauti kukwama mara kwa mara na kushindwa kujibu vizuri katika mdahalo wake wa kwanza wa Kampeni za uchaguzi

Aidha kwa mujibu wa CNN mmoja kati ya wanachama aliyehojiwa amesema kuwa Wanachama wa Democrats wanapendekeza Kamala Harris achukue nafasi ya kugombea uraisi wa chama hicho.

===============For English Audience Only==============​
More than a handful of House Democratic ranking members told House Minority Leader Hakeem Jeffries in a Sunday call that President Joe Biden needs to step aside from the 2024 campaign, according to sources familiar with the call.

Jeffries held the call to take the temperature of ranking members after Biden’s dismal debate performance last month. The call, held before lawmakers return to Washington this week, was filled with deep concern about potential damage to the Democratic ticket and how it imperils the party’s chances to win back the House majority.

Jeffries did not share with his colleagues where he stands on the question of whether Biden should continue running for reelection, a source who was on the call told CNN.

The number of lawmakers who explicitly said Biden should not be the Democratic nominee was greater than the number who spoke up for him to stay, according to one of the sources. Among those who opposed Biden as the nominee were Reps. Mark Takano, Adam Smith, Jim Himes, Joe Morelle, Jerry Nadler and Susan Wild, according to three sources.

One of the concerns expressed during the nearly two-hour call was that Democrats will lose their chance at the House majority if Biden is the candidate, one of the sources said, adding that it was generally acknowledged the nominee should be Vice President Kamala Harris.
 
Siasa za magharibi hazihitaji gambling kwa Sasa.., democrats kama wako seriously watafte mgombea mwingine.
Wajifunze kwa macron kilichomkuta,
Wazungu kwa Sasa hawana mzaha na wanasiasa Vimeo!
 
Siasa za magharibi hazihitaji gambling kwa Sasa.., democrats kama wako seriously watafte mgombea mwingine.
Wajifunze kwa macron kilichomkuta,
Wazungu kwa Sasa hawana mzaha na wanasiasa Vimeo!
Haijalishi nani wanamchagua, hao wagombea wote wapo funded na group dogo la watu wakubwa wanao share interest sawa..... Uchaguzi wa Marekani ni pointless kuliko hata uchaguzi wa kwetu hapa
 
Siasa za magharibi hazihitaji gambling kwa Sasa.., democrats kama wako seriously watafte mgombea mwingine.
Wajifunze kwa macron kilichomkuta,
Wazungu kwa Sasa hawana mzaha na wanasiasa Vimeo!
Unamaanisha Russia kawafanyaje tena?

Mbona viongozi wote wa NATO wamepukutika ghafla kama majani ya njugumawe juani?

Zelensky anaomba sana kwa sasa Trump ashinde ili alazimishe vita viishe.

Hiyo ndiyo namna pekee aionayo ya kujitoa kwenye aibu aliyoaminishwa kwamba anaweza kuishinda Urusi.

NATO yote na washirika wake rasmi na bandia (kama Kenya) kwa sasa hamu na ghamu yao ni kumwona Trump akishinda kiti cha urais.

Vinginevyo kwa nini a convicted fellow aruhusiwe kugombea, kama siyo mpango wao wa kujikosha kupitia yeye???

Jinsi hao jamaa zako wanavyomng'angania Trump kwa sasa haina tofauti na vile Sisiemu ilivyokuwa ikimshadadia Joni mwaka 2015 - kuvushwa tu kwenye kizingiti ngunguri!

Bila Trump na siasa zake za ubabe mwingi wa maneno ila vitendo husika kiduchu, hakuna nchi ya Ulaya itakayokwepa mkono wa chuma wa Urusi even as early as mwakani 2025.

You better mark my words or get the hell out of my world!
 
Pale utakapoacha kufikir kila mada inayoletwa jamiiforum inahusiana na Russia na Ukraine ndipo utakuwa freeminded!
Kwa Sasa nikuache tu kwenye Hilo box ulilofungiwa kifikra!
 
Pale utakapoacha kufikir kila mada inayoletwa jamiiforum inahusiana na Russia na Ukraine ndipo utakuwa freeminded!
Kwa Sasa nikuache tu kwenye Hilo box ulilofungiwa kifikra!
Nadhani kuna uwalakini wa kifikra mahali fulani kwa upande wako!

Nikujuze tu kwamba Marekani na NATO kwa sasa iwapo wakizungumza maneno tisa, basi elewa kumi kati yayo yanahusiana na Urusi. Wake up!

^Houston, we've a problem!^
 
Russiav
Pale utakapoacha kufikir kila mada inayoletwa jamiiforum inahusiana na Russia na Ukraine ndipo utakuwa freeminded!
Kwa Sasa nikuache tu kwenye Hilo box ulilofungiwa
Wanamgambo wenzako wanalia nakusaga meno huko Kiev Russia kafumua fumua mji
 
Haijalishi nani wanamchagua, hao wagombea wote wapo funded na group dogo la watu wakubwa wanao share interest sawa..... Uchaguzi wa Marekani ni pointless kuliko hata uchaguzi wa kwetu hapa
Kwetu kuna uchaguzi uko wapi.😧😧Rais anatembea na matokeo ya ubunge, udiwani na urais kwenye gari la kampeni halafu unasema kuna uchaguzi..?? Una akili timamu kweli..!!
 
Biden be like :
IMG_20240711_214551.jpg
 
Back
Top Bottom