Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
THE KENYAN TRIO I GIVE MY DUE RESPECT (CURRENTLY)
Natamani sana kusikia kolabo inayobeba vichwa hivi vitatu ninavyovisikiliza zaidi kutoka KE kwa sasa.
Nimekuwa nikimwelewa Shinski toka enzi za Klepto na "Tuendelee, Swing, Furahia na Mpenzi."
Hata baada ya kusplit na kwenda majuu na kuacha kundi mikononi mwa mkali wa "Chini ya Maji" King wa Rap, Collins Majale " Collo" bado nilikuwa upande wa Klepto.
Shinski aliporudi na " Mungu Pekee" na " Now You Know" nilifurahi kupita maelezo.
Thy Papa, The OG, Khaligraph Jones aliingia kwenye orodha ya wakali ninaowaheshimu 2013/14 na kuendelea alipokuja na zile "I run 254", "I am a King" " We be happening" na "Open doors"
The vibe is still to the same pattern kila nikisikia OG katoa kazi mpya.
Scar Mkadinali aliingia kwenye akili yangu kwa mara ya kwanza kwenye goma la Chid Benz liitwalo "NIKISEMA" makamuzi aliyoyofanya mle ndani sitaacha kusimulia.
#Easy au the Mountain Mover aka Kovu ni MTU na nusu, ni zaidi ya rapa. Baada ya hapo nikamsikiliza zaidi kwenye kazi za crew yake, WAKADINALI na bado nilikipata nilichokitegemea kutoka kwake.
Can somebody please get these three on the same track?? I can't wait!!!
Greetings from +255.
LUAH.