Baadhi ya mambo yatayopotea/kupungua kabsa kipindi hiki

Baadhi ya mambo yatayopotea/kupungua kabsa kipindi hiki

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kupiga picha umezungukwa na chupa karibia 50 za pombe.
Kupiga picha umezungukwa na....
Kupiga picha kwenye Hoteli kubwa kubwa za kisasa
kupiga picha unahesabu pesa nyinginyingi/dollar.

Ongeza na wewe nyingine.
 
Mkuu umeshaona picha za harmorapa recently??
 
Hayo mambo yote Hamorapa anayafanya.

Bwana hamo
 
Back
Top Bottom