Mkuu umeshaona picha za harmorapa recently??Kupiga picha umezungukwa na chupa karibia 50 za pombe.
Kupiga picha umezungukwa na....
Kupiga picha kwenye Hoteli kubwa kubwa za kisasa
kupiga picha unahesabu pesa nyinginyingi/dollar.
Ongeza na wewe nyingine.
HahahaKupiga Picha ukiwa na Wakina Wema, TID, Nyandu Tozzy, Director Joan, Tunda, Young D n.k na kutupia Instagram.