Baadhi ya maneno yanayotumika kama tafsida kuhalalisha uzinzi na tabia zingine ovu.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
1. Kudanga = kufanya ukahaba.
2. Body count = idadi ya watu uliofanya nao mapenzi.
3. One night stand = kufanya mapenzi mara moja na mtu asiyekuwa mpenzi wako ili kukidhi tamaa za kimwili.
4. Afisa ubashiri = mcheza kamari.
5. Single maza = binti aliyekimbiwa baada ya kuzalishwa.

Ongezea mengine.
 
Afisa burudani = Mpenzi wa usiku mmoja
 
Kwenye lugha ya kiswahili nadhani hayo maneno huitwa "Misimu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…