Baadhi ya maswali siku ya interview na mafunzo ya sensa

Baadhi ya maswali siku ya interview na mafunzo ya sensa

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
How to copy, paste, cut, delete, data input, modify, sasa Ole walo ngeli haiko kichwani utaona moto wake. Tafadhali tupieni zingine ili tuwe na pre knowledge safari nzuri ni asubuhi.

Asanteni
 
Hawawezi uliza maswali ya kitoto kama hayo
Sasa mfano kama ku delete si unamwambia kuna button ya kudelete kwenye pc keyboard imeandikwa kabisa del [emoji1787] unai press


Na hapo kwenye cut ,paste , watu wana meza tu shortcut control v mara control c imeisha
 
Acha ndoto mkuu mfumo unakuwaga na kiswahili na kingereza na zaidi ya 98% ya watz wanatumia kiswahili wew na kingereza yako yabda ukawaoji waamiaji haramu huko msituni.
Rejea mfumo wa NaPa
 
Back
Top Bottom