ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Mara nyingi kujiingiza kwenye uchawi sio mwanzo wa kusaka utajiri..safari kwa waganga huanza pale mafanikio yanapoanza pale ambapo wasiwasi na pressure zinawakumba wanaona kama wanatapeliwa na kuibiwa muda wote hivyo wanashawishika kwenda kwa ajili ya ulinzi na huko ndipo wanapokutana na masharti makubwa pamoja na utapeli wa ujanjaujanja.
Kwa hiyo kinachowafanya waone kama uchawi upo na unafanya kazi ni jinsi wanapoona mafanikio yanaendelea kumbe tayari walikuwa washayawekea misingi pamoja na ule uoga wa kutotimiza masharti.
Kwa hiyo kinachowafanya waone kama uchawi upo na unafanya kazi ni jinsi wanapoona mafanikio yanaendelea kumbe tayari walikuwa washayawekea misingi pamoja na ule uoga wa kutotimiza masharti.