Baadhi ya Matangazo ya Kazi

Baadhi ya Matangazo ya Kazi

defashi

Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
21
Reaction score
2
Wapo watu wanaweka matangazo ya kazi.
Watu wanafanya application na wanapewa hadi sehem na tarehe ya interview.
Ila wakienda wanakutana na semina za Network Marketing.

Me naona hii sio fair cos watu wanajiandaa kwa interview na nguo wanapasi then unaenda kuambiwa utafute watu watatu cjui blaa blaa na kianzio juu.

Wahusika mtaniwia radhi.
 
Kweli hapa mjini tutakaoingia mbinguni ni wachache labda watu wabadilike.
That's not fair.
Ninavyowachukia watu wa network marketing siku wanifanyie hivi hapo tamzimisha mtu.
Najenga picha hapa nabaki kucheka tu. Yaani umeomba kazi wamekuitwa for an interview baadaye unakutana na watu waliovaa makoti ya Karume
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 khaaaa
 
Hii kali aiseeh!!! Kumbe watu wa marketing wamekuja mbinu mbadala ya namna hii...duuh!!!

Kama ningekuwa mimi ndio nimeitwa, ningemvuta pembeni huyo aliyeniita hapo. Then namchapa vibao viwili vitatu vya adabu, ili kufidia machungu ya kupoteza muda wangu. Then nawaaga kiungwana kabisa....as if hakuna baya lililotokea hapo.

Honestly inakwaza sana!!!!
 
Mkuu umenikumbusha machungu aisee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hii ishu ilishanitokeaga halafu mwisho wa semina aliekuita anasema "hope hujakwazika na kama umekwazika naomba nisamehe" nkajibu yaan umenifurahisha sana
 
😀😀😀 Hatari sana hawa jamaa.
 
Baada ya semina dawa yao ni kuwatongoza hao waliokuita kwenye semina badala ya interview!
 
Kweli hapa mjini tutakaoingia mbinguni ni wachache labda watu wabadilike.
That's not fair.
Ninavyowachukia watu wa network marketing siku wanifanyie hivi hapo tamzimisha mtu.
Najenga picha hapa nabaki kucheka tu. Yaani umeomba kazi wamekuitwa for an interview baadaye unakutana na watu waliovaa makoti ya Karume
Nimecheka sana mkuu😂😁😁
 
Mkuu umenikumbusha machungu aisee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hii ishu ilishanitokeaga halafu mwisho wa semina aliekuita anasema "hope hujakwazika na kama umekwazika naomba nisamehe" nkajibu yaan umenifurahisha sana
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kweli hapa mjini tutakaoingia mbinguni ni wachache labda watu wabadilike.
That's not fair.
Ninavyowachukia watu wa network marketing siku wanifanyie hivi hapo tamzimisha mtu.
Najenga picha hapa nabaki kucheka tu. Yaani umeomba kazi wamekuitwa for an interview baadaye unakutana na watu waliovaa makoti ya Karume
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti makoti ya karume.
Ilishawah kunitokea last year nimeambiwa Kuna project niende for interview kwenda kule nakutana na upuuzi wa qnet.
Niliumia sana kupoteza muda wangu.
 
Mimi nikifanyiwa hivo nitawashtaki, Watalipia muda niliopoteza kujiandaa na Mengine. Hawawezi kuwa wapuuzi kiasi hiki!!
 
Makoti ya elfu saba wakiyanyoosha na kadeti za kariakoo za 12000 wanaanza kuwatapeli watu.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] eti makoti ya karume.
Ilishawah kunitokea last year nimeambiwa Kuna project niende for interview kwenda kule nakutana na upuuzi wa qnet.
Niliumia sana kupoteza muda wangu.
 
Kweli hapa mjini tutakaoingia mbinguni ni wachache labda watu wabadilike.
That's not fair.
Ninavyowachukia watu wa network marketing siku wanifanyie hivi hapo tamzimisha mtu.
Najenga picha hapa nabaki kucheka tu. Yaani umeomba kazi wamekuitwa for an interview baadaye unakutana na watu waliovaa makoti ya Karume
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom