K KAUMZA JF-Expert Member Joined Aug 31, 2010 Posts 699 Reaction score 237 Oct 31, 2010 #1 Mpaka sasa Peter Serukamba wa CCM anaongoza kwa kura nyingi sana. CHADEMA nao wanaelekea watapata mdiwani wengi na inawezekana wakaishika manispaa.
Mpaka sasa Peter Serukamba wa CCM anaongoza kwa kura nyingi sana. CHADEMA nao wanaelekea watapata mdiwani wengi na inawezekana wakaishika manispaa.
M Malunde-Malundi JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 1,288 Reaction score 131 Oct 31, 2010 #2 takwimu bwana kama huna takwimu ifanye iwe tetesi
Kachanchabuseta JF-Expert Member Joined Mar 8, 2010 Posts 7,264 Reaction score 678 Oct 31, 2010 #3 Piga mwendo twende
C chanai JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 279 Reaction score 2 Oct 31, 2010 #4 Takwimu ni muhimu sana mzee
Njowepo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2008 Posts 9,710 Reaction score 2,240 Oct 31, 2010 #5 Acha sound
MTWA JF-Expert Member Joined Aug 5, 2009 Posts 1,166 Reaction score 168 Oct 31, 2010 #6 KAUMZA said: Mpaka sasa Peter Serukamba wa CCM anaongoza kwa kura nyingi sana. CHADEMA nao wanaelekea watapata mdiwani wengi na inawezekana wakaishika manispaa. Click to expand... Ni habari nuri lakini matokeo zaidi kwa takwimu yanahitajika
KAUMZA said: Mpaka sasa Peter Serukamba wa CCM anaongoza kwa kura nyingi sana. CHADEMA nao wanaelekea watapata mdiwani wengi na inawezekana wakaishika manispaa. Click to expand... Ni habari nuri lakini matokeo zaidi kwa takwimu yanahitajika