Baadhi ya member wa JF wangekuwa magari unadhani wangekuwa gari gani?

[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]
 
Hapo nikija kukuchukua twende lunch utakubali au utani snob sina gari zuri?
Ukija kunifata kutatokea WW3

Kati yako na Jr.

Sina uwezo wa kuamua ugomvi wa Manguli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…