hahahahahahaa chako kikojeeHivi viemoj vyako mbn vimesiamama wimaaaa
Ningekuwa na ujasiri hiyo ingekuwa advantage kwangu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe mjanja wewe nakujua utaniona tu kichaaaa
kulee bhana nili google kale kanenoo nikasema haka katamtoa hadi mke wa superspot ajee na hukuuKuna sehemu umeshuka kimalikiaaaa
Shauri yako hii ni wiki ya mwisho kukaa hapa, uzuri mshaniambia usafiri mzuri kwahiyo ni kujisogeza tu na kuondokaNiljua umesahau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaa mtaniua mwaka huuuu
hahahaha poleeUlalooooo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mpaka muda huo Jr atakuwa kashafariki kutokana na makombora yangu, kwa hiyo hakuna WW3.Ukija kunifata kutatokea WW3
Kati yako na Jr.
Sina uwezo wa kuamua ugomvi wa Manguli.
Ivi ushawahi kusikia mtu alikuwa amelala ndani lakini ameamka akiwa juu ya paa kwenye bati?.Nakuanika mpaka vidole vya miguuni
Ngoja nibaki tu na aibu yangu..Thubutu sema unanionea aibu tuuuu
Na kweli nilikujaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]umeanza kuniroga
kimalkia hikii umeniachaaWewe ndo pole unajaza server za Jf
Usinge comment vile ingekuwa bahati yako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeeee ngoja nibingilite leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]