Youth champion
Member
- Feb 12, 2020
- 72
- 87
Maneno yako hayana ukweli sana kwani kama bidhaa na huduma yako ni nzuri lazima utoboeWakuu Naombeni ushauri katika jambo Moja :-
Kumekuwa na mazoea kwa baadhi ya Mikoa yetu TZ, ukienda kufanya biashara au kampuni, support inakuwa ndogo bcoz sio mzawa wa eneo Lile au mkabila wa pale.
Hasa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (Samahani )
Naombeni maarifa yenu, unawezaje kutoboa biashara/Kampuni katika Mikoa kama hiyo !?
[emoji22][emoji22][emoji22]
1. Bei za hizi software huwa zinakuwa mzigo kwa watumiaji. Unakuta unaulizia unaambiwa utalipia milioni 3 cash halafu kila mwezi unalipia laki mbili au unaambiwa kila mwaka utalipia milioni moja na nusu. Sasa utapata wapi mfanyabiashara mdogo na wakati atakaevutiwa na huo utaratibu wakati rekodi zake anaweka kwenye kauntabuku na mambo yanaenda.Wakuu Habari,
Wakongwe wa biashara tunaomba uzoefu wangu hapa:-
Now days kuna bookeeping and record keeping apps and software nyingi sana lakini kwanini tulija madukani kwenu hatuoni mukizitumia wakati ni kama mumerahisishiwa mzigo,
Shusheni uzoefu wenu kwanini still munatumia local way badala ya modern ways[emoji120]
View attachment 2984300
Mikoa ya aina hiyo huwa mara nyingi ni kwasababu ya kuwa ni jamii ya watu wa aina moja au watu wachache hivyo wanakuwa kama hawajiamini na hiyo wanafanya kujilinda wakiamini umekuja kuchukua chochote kwao.Wakuu Naombeni ushauri katika jambo Moja :-
Kumekuwa na mazoea kwa baadhi ya Mikoa yetu TZ, ukienda kufanya biashara au kampuni, support inakuwa ndogo bcoz sio mzawa wa eneo Lile au mkabila wa pale.
Hasa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (Samahani )
Naombeni maarifa yenu, unawezaje kutoboa biashara/Kampuni katika Mikoa kama hiyo !?
[emoji22][emoji22][emoji22]
Naomba fafanua vizuri mkuu kwa faida ya woteHizo record zipo backdoors,
Utakuja utanunua kisha nitarecord
Uzi makini sana Mkuu,1. Bei za hizi software huwa zinakuwa mzigo kwa watumiaji. Unakuta unaulizia unaambiwa utalipia milioni 3 cash halafu kila mwezi unalipia laki mbili au unaambiwa kila mwaka utalipia milioni moja na nusu. Sasa utapata wapi mfanyabiashara mdogo na wakati atakaevutiwa na huo utaratibu wakati rekodi zake anaweka kwenye kauntabuku na mambo yanaenda.
Bei zingekuwa ni rafiki na zinasaidia biashara kukua then wafanyabishara wengi wangejoin kutumia.
2. Wauzaji wa hizi software sio watoa huduma bali watafuta pesa. Unakuta hana mazungumzo ya ziada ukimuonyesha haupo tayari kununua sababu hauna taarifa zaidi na hauelewi cha kufanya. Yeye anakupuuza na kukuona msumbufu. Matokeo yake project zinadoda.
Nadhani customer care na pursuing ipo chini sana watu wa IT wanadharau sana majority na wanajipaga umuhimu ambao haupo. Unaona hata website ni kitu simple sana kwa mtu wa IT kufanya na hakimgharimu chochote kuanza kutengeneza ila ataanza hapo "lipia nusu ya gharama nikutengenezee" nusu ya gharama unakuta ni laki tano.
Nani anataka kulipia kitu ambacho kwanza hana uzoefu nacho, anayemtengenezea anampa bili kubwa na kumtaka alipe before hajapata huduma na kuona inafanyaje maajabu kwenye biashara yake. Watu wa IT wanaishia kuzeeka na taaluma yao na wafanyabishara maisha yanaendelea kama kawaida.
3. Elimu ndogo sana juu ya matumizi na faida ya software hizi. Wauzaji wangejikita zaidi huko baada ya miaka kadhaa software zitakuwa popular na watu watazipenda. Huwezi mshawishi mtu kununua kitu ambacho anakiona kama optional kwake.
Nitajie mkuu majina au weka jina la website zaoUzi makini sana Mkuu,
Ila now days still zipo app ambazo just unalipa Tsh 10,000/= per month lakini still watu hawatumii.
Tupe uzoefu wa eneo unaloishi hali ipo vipi katika matumizi ya teknolojia hizi [emoji120]
We ni muongo kaka kwakuwa Arusha wanafanya biashara hadi watu wengi na Arusha hakuna hizo pigo za ukabila aseeWakuu Naombeni ushauri katika jambo Moja :-
Kumekuwa na mazoea kwa baadhi ya Mikoa yetu TZ, ukienda kufanya biashara au kampuni, support inakuwa ndogo bcoz sio mzawa wa eneo Lile au mkabila wa pale.
Hasa Mikoa ya Arusha na Kilimanjaro (Samahani )
Naombeni maarifa yenu, unawezaje kutoboa biashara/Kampuni katika Mikoa kama hiyo !?
[emoji22][emoji22][emoji22]
Mkuu niliomba samahani kama kuna mtu nitamkazwa, mimi sio mzawa wa Arusha ila nimeishi kwa miaka zaidi ya minne, nilicho andika ni mtazamo wanguWe ni muongo kaka kwakuwa Arusha wanafanya biashara hadi watu wengi na Arusha hakuna hizo pigo za ukabila asee
Mkuu sikupingi uko sahihi kabisa.Mkuu niliomba samahani kama kuna mtu nitamkazwa, mimi sio mzawa wa Arusha ila nimeishi kwa miaka zaidi ya minne, nilicho andika ni mtazamo wangu