Four dimensions mbina hata wewe upo hapo kwenye three dimensions za space na moja ya time.mathematics kama yenyewe ipo original haibadiliki kamwe ila sasa mafafanuo yake katika dunia yetu ndo shida zinapoanza
mambo kama four dimensions being au being before time they cant make any sense kwetu. Chukulia four dimensions hakuna binadamu ambaye anaweza ona hizo dimensions zimekaaje
Ndio sasa cheki hizo four dimensions zinavyo onyeshwa kwenye illustration , yaan inabid three dim zifanywwe kama 2d na time inaongezewe la sivyo haiwezekanikiFour dimensions mbina hata wewe upo hapo kwenye three dimensions za space na moja ya time.
Four dimensions za spacetime tayari hizo.
Kulingana na Albert Einstein's Relativity.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo haiwezekaniki, wewe kwa sababu ya ulivyo unaona sivyo.Ndio sasa cheki hizo four dimensions zinavyo onyeshwa kwenye illustration , yaan inabid three dim zifanywwe kama 2d na time inaongezewe la sivyo haiwezekaniki
Siyo haiwezekaniki, wewe kwa sababu ya ulivyo unaona sivyo.
The world is not anthropic.
Unaelewa kwamba kuna mionzi ambayo macho yako hayaioni?
Na kwamba, ukweli kwamba macho yako hayaioni hiyo mionzi, hakuifanyi isiwepo?
Sent using Jamii Forums mobile app