Baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya Wapigania Uhuru wa Tanganyika

Baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya Wapigania Uhuru wa Tanganyika

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Hapo chini ni picha za baadhi ya mitaa iliyopewa majina ya wapigania uhuru wa Tanganyika:

Katika picha hizi picha ya kwanza inamuonyesha Ali Msham wa kwanza kulia akiwa na Baba Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika.

Ali Msham amefanya mengi ambayo tumeshayaeleza.

Tunategemea wakazi wa Magomeni watachukua fursa ya mradi wa anuani ya makazi kubadili jina la Mtaa wa Jaribu alipokuwa akiishi na kuuita Mtaa wa Ali Msham.

Screenshot_20220331-064316_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom