Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Husika na kichwa cha habari hapo juu kwanza ningependa ujue mitandao yote ya simu tanzania ina vifurushi vinavo fanana kingine kila mtandao na spidi yake sasa kumezuka baadhi ya mitandao ya haloteli,airtel,tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu yaani ukinunua bando likibaki mb 40 izo azitumiki kitu ambacho ni wizi kabisa kule vodacom hata ukibakiwa na mb 12 unatumia hadi inabaki moja ila hao wengine ni wazee wa umetumia asilimia 75 hivi ili TCRA NA NAPE MOSES NAUYE hawalioni au ndo tuendelee kuibiwa tu nawapongeza sana vodacom TANZANIA
We ukisoma ulichoandika unaelewa?Aisee mama Mimi wiki hii wamenizidishia,kala saa bundle linakata,ma Airtel hao
π€£π€£π€£π€£We hujaelewa hata kidogo?We ukisoma ulichoandika unaelewa?
Dah! Inaonesha simu yako haina (.) wala (enter).Husika na kichwa cha habari hapo juu kwanza ningependa ujue mitandao yote ya simu tanzania ina vifurushi vinavo fanana kingine kila mtandao na spidi yake sasa kumezuka baadhi ya mitandao ya haloteli,airtel,tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu yaani ukinunua bando likibaki mb 40 izo azitumiki kitu ambacho ni wizi kabisa kule vodacom hata ukibakiwa na mb 12 unatumia hadi inabaki moja ila hao wengine ni wazee wa umetumia asilimia 75 hivi ili TCRA NA NAPE MOSES NAUYE hawalioni au ndo tuendelee kuibiwa tu nawapongeza sana vodacom TANZANIA
Hana akilianakula wifi ya bure hana shida huyo jamaa uchungu atoe wapi hata ukimwambia?
Mpuuzi sana yule jamaaHawawezi kujisikia uchungu kina Nape wanakula maisha full dharau kwa wananchi wa hali ya kawaida
GB moja 2100 hyo mia tunaongezea kwenye next electionHusika na kichwa cha habari hapo juu,
Kwanza ningependa ujue mitandao yote ya simu Tanzania ina vifurushi vinavyofanana na kingine kila mtandao na spidi yake.
Sasa kumezuka baadhi ya mitandao ya Haloteli, Airtel, Tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu, yaani ukinunua bando likibaki mb 40 hizo hazitumiki, kitu ambacho ni wizi kabisa.
Kule Vodacom hata ukibakiwa na mb 12 unatumia hadi inabaki moja ila hao wengine ni wazee wa umetumia asilimia 75 hivi ili TCRA na Nape Nnauye hawalioni au ndo tuendelee kuibiwa tu nawapongeza sana Vodacom Tanzania?
Nakubaliana nawe 200%, halafu kuna vibinti vipumbavu sana viko customer care airtel, nilipiga simu kulalamikia suala hilo vinajibu "ulishaona ATM bank inatoa fedha ndogondogo zilizobaki kwenye akaunti!!" Imagine mtu wa hivyo dawa yake nini kama siyo kutupa line yake chooniSasa kumezuka baadhi ya mitandao ya Haloteli, Airtel, Tigo kuwa na vufurushi vya data ambavyo ni data kausha damu, yaani ukinunua bando likibaki mb 40 hizo hazitumiki, kitu ambacho ni wizi kabisa.
Naunga mkono hoja ππNakubaliana nawe 200%, halafu kuna vibinti vipumbavu sana viko customer care airtel, nilipiga simu kulalamikia suala hilo vinajibu "ulishaona ATM bank inatoa fedha ndogondogo zilizobaki kwenye akaunti!!" Imagine mtu wa hivyo dawa yake nini kama siyo kutupa line yake chooni
Tunapigwa Cha juu...GB moja 2100 hyo mia tunaongezea kwenye next election