Baadhi ya Model za magari ya TOYOTA na maana zake.

Baadhi ya Model za magari ya TOYOTA na maana zake.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Hizi ni baadhi ya Model chache za magari ya TOYOTA na maana zake.

Baadhi ya Model za Toyota na tafsiri zake.

images (4).jpeg

CAMRY - japanese for crown(taji)

images (5).jpeg

LAND CRUISER - uwezo wa kwenda popote

images (6).jpeg

RAV4 -Recreational active vehicle with 4WD gari ya burudani inayotumika yenye magurudumu manne yanayoendesha.

Toyota_Sienta_XP80_Light_Yellow_(1).jpg

SIENTA - Kwa mujibu wa Wikipedia ni neno la kihispania "siete" linalomaanisha saba kwa maana lina uwezo wa kubeba watu saba.

20150521_01_t_w610.jpg

HILUX - muunganiko wa maneno mawili High and luxury ukaleta neno Moja Hilux

images (7).jpeg

MARK X - simply Mark 10

images (8).jpeg

FORTUNER -huyu ni Toyota bahati
 
Back
Top Bottom