Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

Abbyoutfit

New Member
Joined
Jul 31, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Samahan jamn naomba mnisadie ,,Nataka kufungua duka la urembo wa wanawake(cheni ,hereni,pete n.k) duka ambalo sio kubwa sana la kawaida tu samahan iv kwa haraka haraka natakiw niwe na mtaji wa shingap???
 
Nilichogunduwa Bongo hatuwatumii consultant, kila mtu anataka mseleleko kwenye mambo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…