Baadhi ya ofa atakazopata Neymar huko Uarabuni

Alafu unashangaa yule bwana mdogo Kwevo anasema eti wanamfuata yeye huko Saudia. Watu wanafuata kibunda kama alichokifuata yeye. It's business as usual!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hawa waarabu wanofanya haya mambo wana malengo yao ila kwa upande wangu mm naona hawa waarabu wanakosea sana wakati wenzako wanakufa njaa pale syria ww unafanya upumbavu huu Kwa ajili ya mpira


Nonsense kabisaaa yaaani
 
Huyu mbs anataka Nini lkn? Ila saudia panaboa sana
Sijawahi kufika Saudia,. lakini MBS angekuwa na akili angejifunza kwa Israel badala ya kuendekeza mambo ambayo siyo productive kitaifa bali ni starehe ya macho tu. Awekekeze kwenye elimu, utafiti na kutransform jangwa kuiwa productive land kama Israel ilivyofanya. Kwa utajiri wao wa mafuta wakiwekeza kwenye maeneo hayo ataiendeleza sana Saudia kuwa Taifa la kuogopwa
 
Yote mawili yanaweza kwenda pamoja,ndio maana wameanza na hiyo kama marketing stunt.
 
Yote mawili yanaweza kwenda pamoja,ndio maana wameanza na hiyo kama marketing stunt.
kujenga institutions imara za elimu na utafiti siyo kitu cha kujenga siku moja kwamba tuanze na marketing stunts halafu ndipo tugeukie upande huo. Angalia Iran ambayo ilijenga institutions imara za elimu na hivyo pole pole zikaimarika na kujenga watafiti wengi wa ndani. Pamoja na vikwazo wanavyopata lakini hata Urusi anaenda kuwaomba misaada ya vifaa vya kijeshi. Sasa hivi Irani wanajitosheleza kwa karibu kila kitu kutokana na utafiti wao ndani hata bila kufanya marketing stunts zozote.
 
Matumizi mabaya ya pesa haya.[emoji2955]
Matumizi mabaya yanaongoza kwa kutoa ajira.

Usafiri wa umma ni nafuu sana.
Yaani una gharama ndogo.
Mtu anapotumia usafiri binafsi anatoa ajira kwa wengi.
Wauza mafuta, matrafiki, mafundi, wauza vipuri, bima, maegesho, waoshaji, waziba pancha, nk.

Unapokula hotelini badala ya kula kwako unakuwa umeajiri watu kadhaa.
 
Neymar anakula sana kitimoto na ulabu kama wote, kwahiyo hivyo navyo club yake itavilipia? Ni halal klabu ya Al Hilal inayomilikiwa na kuongozwa na Waislam ilipie najis hizo? Au mnasemaje waja wa 'Mnyaazi Mungu' wenzangu?
 
Wanataka waipindue ulaya , ni suala la muda tu, Waafrika tutaanza kutafuta visa za kuzamia uarabuni kutafuta ndoto zetu...πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
Waendeleee tu na mipango yao ya kuipindua Ulaya. Ulaya na sasa hawa Waarabu wote lao moja; kutupeleka kuleeee...kwenye NWO kuliko na dini moja feki, na hata japo hizi zilizopo zitaendelea kuwepo ila zitakuwa feki sana (Ukristo oya oya, Uislamu tia maji tia maji,n.k).

Hawa Athletes wanaenda Saudia ,palipo na kitovu cha Uislamu, wakiwa na lifestyles zao ambazo hawataziacha (japo baadhi ya hao wenye majina makubwa watasilimu na kujiunga na dini ya haki, ila upagani wao mwingi hawataziacha na wataupandikiza ndani ya maisha ya Waislamu). Saudia inaenda kuwa na Uislamu wa hovyo sana.
 
Wafanyakazi wanane na magari tisa kwa mujibu wa BBC Sports.
 
Waarabu washa anza kugundua kuendekeza dini ni ujinga

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hiyo namba 7 umefanya nicheke Tu mwenyewe [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…