Mapambano Yetu
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,130
- 2,102
Nawapongeza NACTE kwa kutoa seletions, Lakini baadhi ya waliochaguliwa majina yao hayajapelekwa vyuo husika. kuna walioangalia profile zao na kukuta wamechaguliwa kwenda IRINGA UNIVERSITY na RUCO lakini walipokwenda kwenye vyuo husika kufatilia admission letter wakaambiwa hawatambuliki na majina yao hayako kwenye orodha waliyopewa. mwenye uwezo wa kutoa msaada kwa hili naomba awasaidie kundi hili ili waweze kupata haki zao. pia izingatiwe kuwa wengi wao ni wafanyakazi wa umma hivyo wanahitaji admission letter haraka ili wazitumie kuombea ruhusa. nawatakia utendaji mwema na MUNGU awabariki.