KERO Baadhi ya shule binafsi zinanyanyasa wafanyakazi hasa ambazo bado zinajitafuta. Walimu hawapewi mikataba na ujira ni mdogo sana

KERO Baadhi ya shule binafsi zinanyanyasa wafanyakazi hasa ambazo bado zinajitafuta. Walimu hawapewi mikataba na ujira ni mdogo sana

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Unakuta baada ya mwalimu kufaulisha vizuri, wanaona kuingia naye mkataba itawagharimu anatafutiwa sababu anafukuzwa na kuajiri walimu wapya ambao ni vigumu kujua kile kinachoendelea kwenye shule husika.
 
Nakubaliana na wewe, na hivi walimu wengi wapo mtaani, basi wale wachache wenye ajira ni vitisho kila siku kwa kigezo hicho
 
Hii inanikumbusha mdau mmoja YY kawekeza kwenye usafirishaji wa masafa marefu. Anasema kabisa fukuza ajili wengine, fukuza ajili wengine tena,kwaku madereva wako wengi MNO
 
Kila siku nawaambiaga haoa shule za English Mediums ni miyeyusho hazifai
 
Unakuta baada ya mwalimu kufaulisha vizuri, wanaona kuingia naye mkataba itawagharimu anatafutiwa sababu anafukuzwa na kuajiri walimu wapya ambao ni vigumu kujua kile kinachoendelea kwenye shule husika.
Hamien serikalin hamsikii ajira kilasikuzamamaq
 
Suala la ujira kuwa mdogo ni janga la taifa.
Huko serikalini kwenyewe hakuna ujira mkubwa hasa kwa kada ya ualimu.
Iweje sekta binafsi inayodaiwa kodi ya mapato,hifadhi za mashirika ya umma,WCF,fire,taka,maji,LUKU,kodi ya ardhi,SDL na nyinginezo.
Kuwa na biashara ya shule sio kitu kidogo.
Wavumilieni waajiri wenu wengi wana madeni makubwa ikiwemo mikopo ya kujenga/kukarabati hizo shule.
 
Tupo kwenye soko huria; anayehitajika sokoni ndio atakayeweza kuishi, na si kuishi kwa kutegemea huruma kutoka sehemu fulani.
Jijenge kwa kutengeneza kitru kinachoonekana ili kujiongezea thamani; thamani yako/utendaji wako ukiwa mzuri utatafutwa kwa gharama yoyote, na wewe ndio utakuwa unapanga bei.
Mfano;- daktari wa upasuaji wa moyo, anahitajika kwa sababu ana uwezo wa kufanya upasuaji na si kuwa pale kwa sababu ya huruma kutoka sehemu fulani.​
 
Back
Top Bottom