Suala la ujira kuwa mdogo ni janga la taifa.
Huko serikalini kwenyewe hakuna ujira mkubwa hasa kwa kada ya ualimu.
Iweje sekta binafsi inayodaiwa kodi ya mapato,hifadhi za mashirika ya umma,WCF,fire,taka,maji,LUKU,kodi ya ardhi,SDL na nyinginezo.
Kuwa na biashara ya shule sio kitu kidogo.
Wavumilieni waajiri wenu wengi wana madeni makubwa ikiwemo mikopo ya kujenga/kukarabati hizo shule.