Stop this kwanza, focus on 29.101. Chagua mtu ambaye anakuheshimu wewe na watu wazima (wakubwa)
2. Chagua mtu unayemwamini
3.Chagua mtu ambaye unaweza kuongea naye,kujadiliana, na kuhojiana kwa uwazi bila kugombana
3.Chagua mtu mwenye umri kalibiana na wa kwako.
4. Chagua mtu mwenye afya nzuri.
5.Chagua mtu anaependelea vile unavyopendelea.
6..Chagua mtu ambaye ataelewa matatizo yako na yake tayari kukusaidia kuyatatua.
NB: Hakunaga kigezo cha ufundi wa kitanda kwenye kuchagua mke/ mme
Mbona sioni usichague singo maza, au mmeingiwa huruma this time roundπ1. Chagua mtu ambaye anakuheshimu wewe na watu wazima (wakubwa)
2. Chagua mtu unayemwamini
3.Chagua mtu ambaye unaweza kuongea naye,kujadiliana, na kuhojiana kwa uwazi bila kugombana
3.Chagua mtu mwenye umri kalibiana na wa kwako.
4. Chagua mtu mwenye afya nzuri.
5.Chagua mtu anaependelea vile unavyopendelea.
6..Chagua mtu ambaye ataelewa matatizo yako na yake tayari kukusaidia kuyatatua.
NB: Hakunaga kigezo cha ufundi wa kitanda kwenye kuchagua mke/ mme
BossPunguza ushauri
ππππππππππππ7. AWE BIKRA.
Na hili ndo la muhimu kama siyo bikra usioe
October 29th utatoka bro?Awe tayari kutoka october
π€Hii imeenda aiseeAwe tayari kutoka october
Kwani wewe Seran ni singo maza? ππππMbona sioni usichague singo maza, au mmeingiwa huruma this time roundπ
Ofa ya nini sis? π³Ndio nasubiri ofa mkuuπ