Baadhi ya Vijana CHADEMA wamtaka Mbowe kujiuzulu; kesi ya ugaidi inamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa kisiasa

Eti tiss wanakaa na uvccm kutengeneza propaganda za kitoto hivi
Mmeisha feli
 
Samia na Majaliwa Wana elimu gani?
 
Kweli kabisa uwezi kujenga kwa jirani kwako kunabomoka huo ni unafki mkubwa..
 
Chee4 kweli mda unao(siwezi kusema huna kazi), uzi mrefu kwa maneno ya kubunibuni tu kama kasuku!
 
Kwahiyo walisubili mpaka apate kesi,ndio watake ajiuzuru?akili za Lumumba na bongo muvi zao,shida sana.
Hii nchi haiendelei maana wanaoongoza kuanzia kwenye kata mpaka Ikulu,ni mazombi watupu,
Dokta Ili kudhibitisha chanjo ni imala,ana kimbia kimbia kama mwanga Ili kuwaonyesha wananchi,
 
Unatapatapa tu. mmefikia mwisho wa kufikiri hamuwezi hata kubuni vitu vyenye Mantiki,mnatengeneza magenge ya Wahuni mkijifanya eti vijana wa Chadema ,CCM bado Wajinga kabisa.
Tumewajua na hamtudanganyi
 
Wapumbavu nyie Maccm yahangaika mnajifanya Vijana wa Cdm hata Aibu hamna ila kwa kuwa mmenyonywa UBONGO hatushangai
 
Hao siyo Chadema ni machoko wa uvccm
 
Ukishaona andiko refu hivi ujue ni upupu mtupu
 
Chadema ni imani fala wewe
 
This type of reasong is retrogressive!
 
Chadema inaenda kufutika machoni pa wananchi Sasa. ...subir muone. ..a ndio maana hata madada zenu wamewaasi na wanaupiga mwingi Bungeni
 
Chadema inaenda kufutika machoni pa wananchi Sasa. ...subir muone. ..a ndio maana hata madada zenu wamewaasi na wanaupiga mwingi Bungeni
Aliyetaka ifutwe alishafutwa kwenye uso wa dunia sasa hivi anaokwa kama ndafu kudadadeq
 
Vijimbwa vya ccm na sasa vinapandikizwa vifanye vurugu kesho kutwa wallah nitaving'oa kende this time
Umeshindwa kuwang'oa kende waliomweka bwana Abubakar sehemu salama utawaweza hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…