Baadhi ya Vijana CHADEMA wamtaka Mbowe kujiuzulu; kesi ya ugaidi inamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa kisiasa

Kwa hiyo tuhuma ndo unafanya mwenyekiti aachie ngazi? Tena tuhuma zimetoka kwa wapinzani wao..
 
Ccm yangu
CHADEMA ya Leo na kizazi chaleo na uelewa wake
SIO Sawa na
CUF ya 2000 na generation iliyokuwepo kwa wakati ule CHAMA cha wananchi (cuf) kilivopakaziwa ugaidi kikidaiwa kuingiza makontena ya visu kupitia boda ya TUNDUMA

Tuachane nakutumia polisi tujenge hoja kama wezetu badala tujenge hoja tunaandaa jogging

Very shame!!!
 
Aliyetaka ifutwe alishafutwa kwenye uso wa dunia sasa hivi anaokwa kama ndafu kudadadeq
Hata wewe itafika siku utafutika katika uso wa dunia. ..unless utuambie utaishi milele. ..shubamit. ..siku yako yaja utakapouona umauti. .je unauhakika wa kufika jioni Leo. ...????
 

Bado ccm mnatumia mbinu za kujitekenya na kucheka wenyewe? Kweli nimeamini ccm ni chama cha wazee, karne hii ya digitali bado mnatumia mbinu analogia kufanya propaganda? Cdm halisi wakifanya mkutano au maandamano wanakamatwa, sasa hao Makada wa ccm mbona hawakamatwi?
 
Hata wewe itafika siku utafutika katika uso wa dunia. ..unless utuambie utaishi milele. ..shubamit. ..siku yako yaja utakapouona umauti. .je unauhakika wa kufika jioni Leo. ...????
Tuliza kijambio hicho,wapi nimesema sitakufa?
 
Usomi wako peleka kwenye vikao vyao vya chama.huku mitandaoni huna usomi ni tapeli tu
 
Ninchoshukuru mm nikwamba na ccm wanavaa t-shirt za katiba mpya ni dhahiri na wao wanatambua kuwa nchi inataka katiba mpya huo upuuzi wao wanaokwenda kuuongea sisi hatiijui
 
Ukatibiwe wewe.Halafu, tumia kichwa kufikiri siyo sehemu ingine ya mwili wako
 
Wapenda amani kote nchini na wazalendo wa nchi popote pale walipo kamwe tusikubali hawa wahuni wachache wanao jifanya wanadai haki kwa kuvunja sheria watuharibie Amani ya nchi yetu.
tuchukue hatua za kuwafichua na kuwa ripoti popote pale walipo.
sio wafuasi wote wa chadema wanafurahia uhuni huu bali wapo wahuni wachache wenye chembe chembe za Ugaidi/uhalifu/ujanbazi/wizi ndio wanafanya vitendo hivi vya kihuni ili wapate sababu.
 
Wamejitoa lini?

Amandla....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…