Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Hatari kweli viongozi wa Bara la Afrika Tanzania ni mojawapo, wakija mjini New York nchini Amerika, wanatumia pesa nyingi kukaa katika mahoteli ya kifahari kwa ajili ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa aka UN. Wakati wananchi wao wanakufa na njaa na umasikini majangaa kweli hayo.