Hatari kweli viongozi wa Bara la Afrika Tanzania ni mojawapo, wakija mjini New York nchini Amerika, wanatumia pesa nyingi kukaa katika mahoteli ya kifahari kwa ajili ya Mkutano wa Umoja wa Mataifa aka UN. Wakati wananchi wao wanakufa na njaa na umasikini majangaa kweli hayo.
Hata wakilala lodge still watu wataendelea kufa njaa, standard ya uraisi inatakiwa izingatiwe , mambo mengine huwa yapo tuu.... Yesu alisema maskini mnao sku zote