Nchi lazima iendelee, unachokiona kwenye luninga kikiwa hewani kinalipiwa, rejesha pesa zao ili mkae mnalia.Watanzania tuelewane hili jambo.
Msiba wa mzee Mwinyi ni wa Kitaifa kama tulivyoyangaziwa na CIC SSH.
Tuliona kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu tuliona Vituo vya Televisheni wakiboleza kwa siku zile 5 za msiba. Nimepita kwenye channel ya DSTV 388 hakuna dalili wala kiashiria kwamba wapo kwenye maombolezo ya kitaifa
Huyu aliyefariki ni Rais Mstaafu. Maana yake ni mkuu wa nchi ambaye aliongoza taifa hili la watu wenye imani tofauti na wasioamini.
Tofauti zetu za kiimani na kiitikadi na kinasaba zisituvue UTU na Uafrika wetu
Unajua baadhi ya makabila kwenye msiba wao ni sawa na harusi, msiba wa muisilamu mambo ni kimyakimya huku mkirisitu ni nyimbo na kunywa kwa kwenda mbele.Watanzania tuelewane hili jambo.
Msiba wa mzee Mwinyi ni wa Kitaifa kama tulivyoyangaziwa na CIC SSH.
Tuliona kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu tuliona Vituo vya Televisheni wakiboleza kwa siku zile 5 za msiba. Nimepita kwenye channel ya DSTV 388 hakuna dalili wala kiashiria kwamba wapo kwenye maombolezo ya kitaifa
Huyu aliyefariki ni Rais Mstaafu. Maana yake ni mkuu wa nchi ambaye aliongoza taifa hili la watu wenye imani tofauti na wasioamini.
Tofauti zetu za kiimani na kiitikadi na kinasaba zisituvue UTU na Uafrika wetu
Bishoo 😆wewe n mwehu
Kwani viliacha matangazo yake ya kawaida, mbona yalikuwepo tu.Familia ya Lowassa walilipa Tshs ngapi kwenye hivyo vituo?
bishoo mwehu 😆😆naomba nitwe hvyoBishoo 😆
Logo ya maombolezo ya kitaifa! Logo hiyo itakuwa ilipitishwa na bunge lako tu wengine hatuijui kwani serikali haijawahi kuitangaza, wewe ukipata uongozi utakuwa zaidi ya jiwe haki ya nani unalazimisha vitu visivyokuwepo kisheria.Siongeli kuacha kuonesha prog zake bali ile logo ya maombolezo ya kitaifa.
Na siyo kuonesha msiba live
Usinifananishe na mtu aliyeua watu huku wananchi tukiimbishwa kumpenda.Logo ya maombolezo ya kitaifa! Logo hiyo itakuwa ilipitishwa na bunge lako tu wengine hatuijui kwani serikali haijawahi kuitangaza, wewe ukipata uongozi utakuwa zaidi ya jiwe haki ya nani unalazimisha vitu visivyokuwepo kisheria.
Utamaduni huo tulijiwekea kwenye kikao cha wapi! Nenda TBC 1 omba wakuingize studio wakupe kiti ulie mpaka basi huenda tukiuona unalia na sisi tutahamasika kulia na nchi nzima watalia.Usinifananishe na mtu aliyeua watu huku wananchi tukiimbishwa kumpenda.
Ninaposema logo simaanishi huo upupu unaoutolea povu. Namaanisha utamaduni tuliojijengea wa kuweka japo alama kwenye luninga kuonesha tupo kwenye maombolezo ya kitaifa
Najua wewe ni mvivu wa kufikiri ndo maana umekuja na hoja mfu kabisa