Utamaduni huo tulijiwekea kwenye kikao cha wapi! Nenda TBC 1 omba wakuingize studio wakupe kiti ulie mpaka basi huenda tukiuona unalia na sisi tutahamasika kulia na nchi nzima watalia.
TBC UKWELI NA UHAKIKA ndio kazi zake hizo wakifanya wao na ile channel ya chama Chao inatosha Sana wengine waendelee na biashara zao, sio lazima kila mmoja kuomboleza