A
Anonymous
Guest
Kuna tatizo kubwa kwa upande wa biashara ya mafuta, mfano leo 4 March 2025 (kila Jumanne mwanzo wa mwezi, wiki ya kwanza, kabla bei ya mafuta haijatajwa kama itashuka au itapanda), makampuni mengi ya mafuta mfano Oryx huacha kuuza mafuta kabisa, inaweka watu, ila haitoi huduma, na bei ya kupanda au kushuka inajulikana kabla ya Jumatano
Kwanini bei hiyo ijulikane kabla ya Jumatano, Serikali imeshindwa kuweka bei hio siri?, kwanini makampuni yanayositisha huduma ya mafuta zisipewe faini, kwanini makampuni makubwa yatuendeshe kiasi hicho?