Elections 2010 Baadhi ya Waandishi wanateketeza Demokrasia

Elections 2010 Baadhi ya Waandishi wanateketeza Demokrasia

Higin mchau

New Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
1
Reaction score
0
Nimesikitishwa sana na baadhi ya magazeti kutoa habari za uchaguzi kwa upendeleo Nimefuatilia upande wa picha UPINZANI FRONT page ni mgombea na watu 5 mpaka 7
chama tawala Mgombea na mamia ya watu, Kitendo hichi kinakatisha tamaa.waandishi mtaweka wapi sura zenu
 
Back
Top Bottom