Nimesikitishwa sana na baadhi ya magazeti kutoa habari za uchaguzi kwa upendeleo Nimefuatilia upande wa picha UPINZANI FRONT page ni mgombea na watu 5 mpaka 7
chama tawala Mgombea na mamia ya watu, Kitendo hichi kinakatisha tamaa.waandishi mtaweka wapi sura zenu