Pre GE2025 Baadhi ya wabunge watishwa na matokeo ya TLS, wahofia majimboni watapendwa watetezi kama Mwabukusi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS.

Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni.

Nimeogopa sana 🐼

Sabato Njema 😄

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
 
Nikizungumza na Rafiki Zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS

Wameniambia iwapo Wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni

Nimeogopa sana 🐼

Sabato Njema 😄
Ukiweka Unafiki pembeni, ni ukweli mchungu usiofichika kwamba Utawala wa CCM, Wabunge wake pamoja na vyombo vingine vyote ambavyo vinaiunga mkono CCM hawakubaliki kabisa na Wananchi wengi zaidi katika nchi hii ya Tanzania. Hata wale ambao hadharani wanaonekana kuisifia CCM, mioyoni mwao wanaamini tofauti kabisa na yale ambayo wanayatamka mdomoni. Tatizo hili ni kubwa sana kwa Watu wengi.

Unafiki ni tatizo kubwa sana nchini Tanzania.
 
CCM ni majangili tupu
 
Unafiki ndio Siasa
 
Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS.

Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni.

Nimeogopa sana 🐼

Sabato Njema 😄

Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Kwa kuwa wanaiba sanduku la kura na baada ya hapo kumdhihaki Mungu awape msamaha kwa wizi wao,Mungu anawakumbusha na atawakumbusha kuwa hadhihakiwi na hafananishwi na uovu kamwe.
 
Tundulisu aheshimiwe pia kaka mtu LUTE mgwai aheshimiwe kwa swali ngangari kwenda kwa mwabukusi
 
Back
Top Bottom