johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Siyo kama unavyofikiria πCCM ni wepesi sn wananchi tukiamua
Ni ngumu sababu wananchi wanaogopa polisi lakini kikiwaka Mwanza, Arusha, Musoma, Moshi, Karatu, Mbeya, Kahama, n.k lazima CCM waogopeSiyo kama unavyofikiria π
Chadema Ndio waogaNi ngumu sababu wananchi wanaogopa polisi lakini kikiwaka Mwanza, Arusha, Musoma, Moshi, Karatu, Mbeya, Kahama, n.k lazima CCM waogope
Kama ni waoga mbona jana waliweza?Chadema Ndio waoga
Ukiweka Unafiki pembeni, ni ukweli mchungu usiofichika kwamba Utawala wa CCM, Wabunge wake pamoja na vyombo vingine vyote ambavyo vinaiunga mkono CCM hawakubaliki kabisa na Wananchi wengi zaidi katika nchi hii ya Tanzania. Hata wale ambao hadharani wanaonekana kuisifia CCM, mioyoni mwao wanaamini tofauti kabisa na yale ambayo wanayatamka mdomoni. Tatizo hili ni kubwa sana kwa Watu wengi.Nikizungumza na Rafiki Zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS
Wameniambia iwapo Wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni
Nimeogopa sana πΌ
Sabato Njema π
CCM ni majangili tupuUkiweka Unafiki pembeni, ni ukweli mchungu usiofichika kwamba Utawala wa CCM, Wabunge wake pamoja na vyombo vingine vyote ambavyo vinaiunga mkono CCM hawakubaliki kabisa na Wananchi wengi zaidi katika nchi hii ya Tanzania. Hata wale ambao hadharani wanaonekana kuisifia CCM, mioyoni mwao wanaamini tofauti kabisa na yale ambayo wanayatamka mdomoni. Tatizo hili ni kubwa sana kwa Watu wengi.
Ujue Mawakili wachache Sana Ndio huchanganya taaluma na Siasa kwenye mambo yao ya KitaalumaKama ni waoga mbona jana waliweza?
Unafiki ndio SiasaUkiweka Unafiki pembeni, ni ukweli mchungu usiofichika kwamba Utawala wa CCM, Wabunge wake pamoja na vyombo vingine vyote ambavyo vinaiunga mkono CCM hawakubaliki kabisa na Wananchi wengi zaidi katika nchi hii ya Tanzania. Hata wale ambao hadharani wanaonekana kuisifia CCM, mioyoni mwao wanaamini tofauti kabisa na yale ambayo wanayatamka mdomoni. Tatizo hili ni kubwa sana kwa Watu wengi.
Unafiki ni tatizo kubwa sana nchini Tanzania.
Kweli tupu, CCM ni tatizo kubwa snUjue Mawakili wachache Sana Ndio huchanganya taaluma na Siasa kwenye mambo yao ya Kitaaluma
Ndio Sababu CCM imevimiliki vyama vyote vya Kitaaluma Kasoro Tanganyika Law Society tu π
Chadema ni tatizo zaidi πKweli tupu, CCM ni tatizo kubwa sn
Bila CHADEMA CCM wangetusumbua snChadema ni tatizo zaidi π
Unafiki ndio Siasa??????????????Unafiki ndio Siasa
JK: Siasa = SihasaUnafiki ndio Siasa??????????????
Nilikuwa sijui hili, kwanza ndio nasikia kwako kwa mara ya kwanza.
Hongera zako Basi kwa kuwa katika 'umoja wa Wanafiki.'
kwa kifupi, mwakani kuna mapinduzi makubwa sana kwenye majimbo.Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS.
Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni.
Nimeogopa sana πΌ
Sabato Njema π
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Kwa kuwa wanaiba sanduku la kura na baada ya hapo kumdhihaki Mungu awape msamaha kwa wizi wao,Mungu anawakumbusha na atawakumbusha kuwa hadhihakiwi na hafananishwi na uovu kamwe.Nikizungumza na Rafiki zangu kadhaa walioko bungeni wamenieleza hofu yao kufuatia Ushindi wa Mwabukusi hapo TLS.
Wameniambia iwapo wapiga kura majimboni watabeba Ujasiri wa Wapiga kura wa TLS basi mwakani tutegemee Wabunge wengi wapya wa CCM pale bungeni.
Nimeogopa sana πΌ
Sabato Njema π
Soma=> Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Sasa umeogopa nini?Nimeogopa sana
Tunaweza kupata Bunge Jipya kabisa πSasa umeogopa nini?