Baadhi ya wadada ukipiga nao story, utasema wife to be huyu hapa, ingia nao kwenye mahusiano ndo utajua hujui

Signs that she is in love ni kukubali ule vyake kwa moyo mkunjufu🤣
 
Halafu DeepPond sijui alipoteleaga wapi huyu mwamba
 
Kuna kidada nikizur sana,kipole sana kimeshajiwekea utaratibu ukikitongoza mpaka ukipatie laki 1 ndo mnaanza mahusiano

Yaan hyo laki 1 kinaomba kama mkopo ukisaidie,ukishakipatia baadae ndo kinakutunuku kama kwa bahat mbaya hv ndo mnaanza mahusiano
 
Wazee wa Friendzone,wanachezea mizinga. Sometimes unaogopa kuzoeana na wanawake sababu ya mizinga.

Zamani tulikuwa tunaambiwa ukimtaka mwanamke,jenga nae urafiki ila siku hizi unajitafutia matatizo.
Ukiwekwa friend zone unakaribisha parasite kwenye maisha yako.
Atakunyonya ukauke kiafya na kiuchumi.
Ni wakatili hawana huruma hao parasite. Wanataka ile upande mmoja tu, very selfish.
 
Ni wife material bado ila hajakupenda.
Sina shida na wao kutonipenda, nimegundua trick mpya sahivi, kwa vile niko nao maeneo ya jirani, nawaona kila siku, ninachofanya ni kuwa wakiniomba hela au favor ingine, kama nina ya ziada na najisikia kuwapa huwa nawapa, kama sijisikii kuwapa, siwapi.

Ila ninachowanyima kabisa ni muda wangu na attention yangu, ukizingatia nliwatongoza ndo wakaanza mizinga, mm nilichofanya ni kwamba nliwatoa tu akilini, so na interact nao, nacheka nao ila papuchi siwaombi, siwaiti gheto, siwaaliki out on dates, sometimes wakitaka kuongozana na mimi huwa nawakwepa.

Walitaka hela kwangu, that's what I gave them, walitegemea jinsi ninavyowapa hela basi nitawaomba papuchi, cha kuwashangaza mimi huwa naongea nao tu bila kuwaomba papuchi, na kiuhalisia Sina mpango wa kuwaomba papuchi, nahisi hii kitu kwa kiasi flani inawanyima raha 😁 binti kiziwi Extrovert Titicomb joseph1989
 
Duuh sikumbuki mara ya mwisho kuzungumza na mwanamke dakika 5 mfululizo bila ya kuwa na kilevi kichwani, mimi binafsi nikiongea na mwanamke huwa nahisi kama ananipigia kelele tu
Ko huwa unaongea na wanaume tyuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kidada nikizur sana,kipole sana kimeshajiwekea utaratibu ukikitongoza mpaka ukipatie laki 1 ndo mnaanza mahusiano

Yaan hyo laki 1 kinaomba kama mkopo ukisaidie,ukishakipatia baadae ndo kinakutunuku kama kwa bahat mbaya hv ndo mnaanza mahusiano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado bado hajaivaa, akisha kwivaa namsajiri ktk kontena langu. Woiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…