A
Anonymous
Guest
Katika Sheria za Benki Kuu ya Tanzania ambaye ndie Regulator wa Microfinance zote na kwa ufahamu wangu mpaka wafanyabiashara wanaokopesha vifaa vya kielekroniki kama simu janja, kompyuta mpakato n.k.
Wanaingia hapo wanapewa leseni maalumu ya kuendesha shughuli hii.
Kwa utafiti wangu Biashara nyingi zinazoendesha ukopeshaji huu hazina leseni inayotambulika na hata vyombo husika kavijaweka mkazo hasa kwenye eneo hili.
Wananchi wengi wanaendelea kuumia kwa mikopo hii umiza na utapeli kwakuwa wanatumia teknolojia za tehama kuwafuatilia na jamii /wadaiwa bado haina uelewa wa kutosha kuhusu Tehama.
Mfano simu ya Tsh.200,000/= unajikuta deni limeisha na ukipiga hesabu umeinunia Tsh.600,000/= kwahiyo imekuwa mbinu ya kujipatia faida kubwa na ya haraka hasa wale wa vijijini ambao utandawazi upo nyuma wanaumia sana.