realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Kinachowafanya msilipe pesa kwa watu kwa wakati ni nini? Pesa unakuta zipo lakini mtu hatoi makusudu.
Ofisi muda wote imefungwa basi mnakaa nje ya ofisi yake muda wote kumsubiri yeye tu.
Anakuja kutoa kwa wakati wake.
Halafu muda wote wakitafutwa unaambiwa wako Benk.
Na kutoa pesa kwa kujivuta sasa Jamani.
Mnajikutaga nyie ni nani jamani?
Toeni pesa chap chap mnatesa watu Jamani kwa nini?