ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Aisee ukimkuta mdada anayepokea wateja guest amevurugwa anagawa wastani bila idadi unakuta mko wanaume watano vyumbani na wote mnatembelewa kila mtu Kwa muda wake yaani Mpaka yule wa mwisho wa alfajiri kashaelekezwa Mida yake.. Kuna siku tumeenda lodge fulani ya kibwege ubwege milango yake usiku ikifungwa na kufunguliwa inatoa sauti. Usiku kucha shwaaaa shwaa milango Kaka ikifungwa huu haipiti nusu saa mwingine umefunguliwa kesho safarini ndani ya gari watatu katika team wakakiri wamekula Tena mmoja ndo anadai alikumbuka kondomu.. Tofauti na baadhi ya ma bar maid wanadanga ila kistaraabu Kwa wastani kila siku atataka atoke na mtu mmoja pekee baada ya kumaliza kazi.