Baadhi ya Wakenya wanachukulia mlipuko wa Corona Kama njia muhimu ya kurekebisha utendaji mbaya wa viongozi wa Kenya

Baadhi ya Wakenya wanachukulia mlipuko wa Corona Kama njia muhimu ya kurekebisha utendaji mbaya wa viongozi wa Kenya

Asubuhi yote hii, kumbe bado kuna watu wanaiwaza kenya tu[emoji122][emoji122][emoji122]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kupenda kwake, yeye anadhani wakenya ni kama wao ambao wamebebewa akili zao. Yaani bado wanasifia sifia miungu watu wao, hata baada ya kulishwa pumba za aina hii. Tena kwenye suala nyeti ambalo linahusu afya na uhai wao. Eti Corona ni kaugonjwa kadogo. Utadhani mzee anaigiza kwenye filamu moja ovyo sana ya bongo movie.
 
Hahahaha, viongozi wenu hata wakibigwa mabomu ya kutoa machozi tu wanaenda kutibiwa nje ya nchi, matokeo yake nchi imejaa madeni hadi puani na wananchi wenu wanavuka kuja kutafuta Hospitali nzuri huku Tanzania.

Sasa hivi kutokana na karantini ya Corona hawaruhusiwi tena kuja Tanzania, tegemeeni kupata "double deaths", 1)Corona deaths 2)Deaths due to lack of better Tanzanian medical care
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha, viongozi wenu hata wakibigwa mabomu ya kutoa machozi tu wanaenda kutibiwa nje ya nchi, wananchi wenu wanavuka kuja kutafuta Hospitali nzuri huku Tanzania.
Sasa hivi kutokana na karantini ya Corona hawaruhusiwi tena kuja Tanzania, tegemeeni kupata "double deaths", 1)Corona deaths 2)Deaths due to lack of better Tanzanian medical care
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kuingiza upumbavu wako kwenye masuala nyeti kama haya. Hata wiki moja haijapita tangu mshindwe kujibu swali langu kuhusu maabara na kits za kupima virusi hivyo nchini Tz, wakati Kenya ilikuwa navyo tangia Feb. Boda zote kati ya Kenya-Tz zilifungwa mapema na marufuku ya mtz yeyote kuingia Kenya imekuwepo kwa wiki ya tatu sasa. Ila nyinyi bado mlikuwa mnawakubalia watu kuingia Tz bila wasiwasi wote ule. Huo usanii wenu unatamausha sana, eti na hadi sasa hivi mnahudhuria ibada makinisani na misikitini na bado mnamuimbia mtakatifu wenu mapambio.
 
Hawa wananchi wenu watapata wapi huduma za Hospitali Kama mumewakataza kufungua mpaka?

Wengi wao watakua wameshakufa kwa kukosa huduma bora za Afya toka Tanzania.
Hahahaha, hahahaha, hahahaha,hahaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rose Muhando atapata wapi huduma bora? Tundu Lisu atatibiwa wapi? Akina Diamond and Ali Kiba huwa wanatibiwa Kenya. Ebu nitajie mkenya yeyote apart from those along your border washaikuja Tanzania kutibiwa.

Tundu Lisu aligundua huduma zenu ni hovyo akasepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Diamond hata kupima body temperature hawezi pimia Kenya, lete ushahidi Kama Diamond alishawahi kwenda hata katika Hospitali moja ya Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ati diamond na alikiba. Lisu aliokolewa uhai wake na doctors wa Dodoma, akaja tibiwa huko, for political reasons.
Rose ametibiwa kwa pesa ya Uhuru sijui.
Alikiba na diamond labda wakiugua wakiwa huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijali, ndo umeanza kulia. This is a list of countries with best Healthcare in Africa. Kenya is third after South Africa and Tunisia.
Tundu Lisu aligundua huduma zenu ni hovyo akasepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Diamond hata kupima body temperature hawezi pimia Kenya, lete ushahidi Kama Diamond alishawahi kwenda hata katika Hospitali moja ya Kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Top 10 Countries with Improved Healthcare System in Africa 2020 | The African Exponent.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kawaida Kenya na Rwanda zipo juu yenu huku nilifikiri mlitupiku kitambo Kumbe nyie bure kabisa 😥
After Coronavirus, Kenyans Will Have To Fight One More Virus
Hii "article" inaonyesha ni kwa jinsi gani viongozi wa Kenya wasivyojali wananchi wao wanaowaongoza, na ni kwa kiasi gani wananchi walivyochoshwa na viongozi wao. Man eat man society".

Sent using Jamii Forums mobile app
These are the countries with the most improved health care system in Africa in 2020.
1. South Africa:

South Africa boasts the highest standard of healthcare in Africa. There are over 200 private hospitals across the country which offer services that match Europe, Asia, and America.

Funding for public healthcare in South Africa currently comes from government spending through taxation and point-of-care spending from those using services.

There are plans to implement a National Health Insurance (NHI) scheme to provide more free services for all and improve the quality of public healthcare.

2. Tunisia:

Tunisia has a public health system funded from taxation run by the Caisse Nationale d’Assurance Maladie that provides care for the majority of the population.

It includes health centers providing primary care, district and regional hospitals, and university hospitals.

3. Kenya:

Kenya has the best Health Care in East Africa.
The country has made good progress in expanding access to primary health care services, free maternity services, elimination of user fees for public primary care facilities, and health insurance subsidies for the elderly and severely disabled.

4. Algeria:

Algeria has a public health care system, which is accessible and free of charge to all citizens of Algeria. The government of Algeria finances the federal health care system.

The country scores very high in Convenience of location and Convenience with the cost.

5. Nigeria:

The Nigerian healthcare system consists of two sectors: public and private.

In general, the public healthcare system is of a low standard due to a lack of government funding and inadequate staffing levels. Still, the Private healthcare facilities in Nigeria are of high standards.

6. Egypt:

Healthcare in Egypt consists of both the public and private sectors.

Public health coverage offered through the Ministry of Health operates a series of medical facilities providing free health services.

The country is currently working on an overhaul of its public healthcare system to improve its quality.

7. Morocco:

The first health care policy in Morocco was devised three years after independence in 1959, with the majority of the free healthcare services and management focused on the general public.

The state provides funding and administration. The Ministry of Health runs the National Institutes and Laboratories, Basic Care Health Network and the Hospital Network.

The Defense Department owns and runs its hospitals, and local governments run city health services. Morocco also has a social protection system that covers all employees for sickness, maternity, invalidity, and retirement.

8. Rwanda:

Despite many critics writing the obituary of Rwanda after the disastrous Genocide in 1994, the country has continued to leap expectations.

Rwanda is a country with one of the most sought-after healthcare system in Africa. The country’s budget ensures that the health sector gets over 20 percent of funding juxtaposed to the Abuja declaration of 15 percent which many countries on the continent have not yet adopted.

The country currently has the highest government revenue, but sadly doesn’t have enough private stakeholders in the sector.

9. Tanzania:

President John Magufuli has been at the forefront, making the headlines prioritizing the improvement of public health institutions.

The country also has the envied National Medical Aid Scheme, which is crucial in reaching universal health coverage.

10. Zambia:

The country has been making strides in ensuring that they beef up their workforce.

It is doing well in making sure that it opens post for medical practitioners so that the country can have more special cases treated. As specialty professions increase, so will its improved access to medical care among Zambians.
 
It's good umekubali kuwa walitibiwa Kenya. Case closed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond na Alikiba hawawezi tibiwa Kenya hata wazidiwe kiasi gani, ikiwa hata raia wenu mnashindwa kuwatibia, huduma zenu zipo chini Sana, haziendani na hadhi ya maisha ya Mtanzania, ninyi endeleeni kutibia hao "drug addicts" Kama Rose Mhando

Tundu Lisu knows which country have better healthcare system.
Rose Muhando knows which country have better healthcare system.
Diamond knows which country have better healthcare system.
WHO knows which country have better healthcare system.
Your Kiparangoto is also aware of that.

Kama all the above wanajua kuwa Kenya wako mbele, mbona basi nijisumbue na mchawi kama wewe?

The only healthcare system that Tanzania inaezashindia Kenya ni hile ya kitreat people with the power of sorcery and witchcraft.

Hahahaha, Tundu Lisu aliwashitukia akaona ninyi ni hovyo kabisa, akakimbilia Belgium. Siku Diamond au Ali Kiba akitibiwa Kenya, Nitatembe bila nguo wiki nzima, Hospitali zenu hazina hadhi ya kutibu watanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Why are you guys always feeding this troll,si muache afungue nyuzi zake na ajijibu yeye mwenyewe na wale wa CCM wenye IQ ndogo kama yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom