Baadhi ya Wakenya wanachukulia mlipuko wa Corona Kama njia muhimu ya kurekebisha utendaji mbaya wa viongozi wa Kenya

Jidanganye naona mabeberu wanajaribu kuwa beba hapa Africa kwa sasa tz ni yatatu msijidanganye ndiyo maana tunazidi kuwapita pasipo kuekewa at which point tuliwapita ,mnabaki mkishangaa tuliwapitapitaje sasa hivi kwenye sekta ya elimu muda si mrefu mtakuwa nyuma yetu tena sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliwafanyia hiyo ranking mkawa wa tatu? Nyinyi mko huko nyuma na hakina Somalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Buku Saba nipe link ya hio namba tatu
😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…