A
Anonymous
Guest
Waalimu UDOM wanalazimisha wanafunzi kutoa hela ya mahafali. Mahafali yenyewe siyo ya lazima tunajua mahafali ya chuo ndo ipo November na siyo lazima nifanye.
Lakini baadhi ya walimu Wana taka wanafunzi walipie Kutokana na program zao. Wanatishia usipotoa mchango tutakutana na chochote.
Hiyo chochote anaweza akakupa carry au supplementary.