✍️✍️
Ndugu naombeni tuweze kuweka sawa please maelekezo.
Iko hivi, kwa members ambao hawataki kushiriki kufanya mahafali ya BeD wao watatoa shilingi 10000 kama kusapoti sherehe ila kwa wale wanaohitaji kufanya sherehe ni 20000/=
Ila shilingi 10000/=ni lazima kwa kila mtu ambaye hataki kushiriki kufanya sherehe, nadhani mmesikia wenyewe kitakachotokea baada ya watu kushindwa kutoa hela hiyo ya mahafali ya bed.
Naombeni sana tusisitize watu wetu tafadhali na pia tusilete matani katika hili please.
Asante nawatakia utekelezaji mwema kwenu.