Baadhi ya walimu wa Kahororo Secondary na kiherehere cha umbea kwa waajiri

Joined
Feb 8, 2012
Posts
92
Reaction score
9
Kuna baadhi ya walimu shule ya sekondari Kahororo iliyopo Bukoba-Kagera wamekuwa wakidhalilisha taaluma zao kwa kujikombakomba kwa Afisa Elimu kwa kuvujisha siri za shule na mienendo ya walimu kwa DEO na Mkurugenzi.Lengo lao kuu ni kupata upendeleo kutoka kwa DEO na Mkurugenzi.Tunawaonya wakiendelea na tabia hii tutawalipua hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…