Baadhi ya Wamarekani wafariki kutokana na dhoruba ya baridi(winter storm)

Baadhi ya Wamarekani wafariki kutokana na dhoruba ya baridi(winter storm)

Dede 01

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2024
Posts
1,182
Reaction score
2,248
Habari wakuu!
Mpaka sasa watu watano wameripotiwa kufa kutokana na dhoruba ya baridi iliyotokea baadhi ya maeneo ya Marekani. Dhoruba hii imepelekea baadhi ya shule kufungwa, kero za usafiri na kukatika kwa umeme. Pia hali ya dharura imetangazwa kwenye majimbo ya Maryland, Virginia, West Virginia, Kensus, missouri , Kentucky na Arkansas. Na pia flights 2300 zilighairishwa kutokana na dhoruba hii.


View: https://www.instagram.com/p/DEhzKt_MQrV/?igsh=MWVkMmphenI5enZ5dA==

KAMA MTU YEYOTE ANA MIPANGO YA KWENDA MOJA YA MAENEO YALIYOTAJWA HAPO JUU AGHAIRISHE SAFARI YAKE MPAKA HALI YA HEWA ITAKAPOKUWA SHWARI.

Yangu ni hayo tu.
 
Mimi mwenyewe hapa Nyang'wale nachungulia nje nashindwa hata kutoka....


1736268794475.png
 
Back
Top Bottom