Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Usiseme chadema,sema Magaidi.unawapa sifa walivyotoka kuwa ni chademaMagaidi wanatoka mchakamchaka mabusu
CHADEMA Ni vilaza kwelikweli
Ukiweza kwepa kulipa Kodi au tozoHii nchi haipo seriazi imejaa Sana propaganda
HILI JESHI LETU LA POLISI NA SERIKALI yetu inatutia aibu sana duniani huko. Ina maana hawa watu hawajui maana ya GAIDI na treatment ya gaidi? Aibu sana. Nimekumbuka hadithi ya utotoni ya mtoto mchunga ng'ombe aliekuwa akisikia upweke porini, anapiga kelele "simba simba simba" watu wanatoka mbio na silaha zao kwenda kumuokoa yeye na ng'ombe zao, wakifika tu anacheka na anafurahi kuwa amewasumbua watu, alifanya hivyo mara kadhaa na mwisho watu wakajua ni mchezo, siku moja kavamiwa.kweli na simba na watu hawakwenda, yeye na ng'ombe wakauwawa na simba. Sasa hawa wanasema wamekamata Magaidi!, na mwisho wanawaachia bila kuwafanyia chochote!. Je hawa Magaidi waliopo mpakani Msumbiji wakiingia, dunia mtawaambia nini? Acheni ushamba na utoto mtatuletea madhara.Ukiweza kwepa kulipa Kodi au tozo
Uzalendo wa wap wakati wabunge wanakula Kodi zetu bila kukatwa PAYE
Mbowe ni gaidi, gaidi anapaswa kunyongwa
Yule Mwendawazimu yule ni zaidi ya GAIDI.kama Babu wa chatto alivyokwenda.
Tozo zimeshapita na kele zimeshaisha😅😅Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu , hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi .
Bado tunaendelea kutafakari , bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi wao .
Maendeleo hayana chama .
Walikula Bia 7saya alipofungwa😅😅 na jiwe alipotupwa kuzimuHuku moshi kwa wachaga hawana hata mda na huyo gaidi. Ni kula bia tu
Kama alovyopata Jiwe na magenge yake. Hadi leo yanapukutika kila sikuGaidi Mbowe yupo kwenye mikono salama, tulizeni kimuhemuhe atapata anachostahili.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu , hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi .
Bado tunaendelea kutafakari , bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi wao .
Maendeleo hayana chama .
Magaidi waliobainishwa na Jeshi imara la Polisi Tanzania wameachiwa leo akiwemo Mwenyekiti wa Bavicha Pambalu , hii ni hatua mpya ambayo haikutarajiwa na wengi .
Bado tunaendelea kutafakari , bali inafurahisha sana ikiwa kama Magaidi wanaachiwa bila kufikishwa Mahakamani kujibu mashitaka ya ugaidi wao .
Maendeleo hayana chama .
Usikute huyo Countrywide mama yake alimvunga kuwa "Freeman ni baba yako lakini alikukana"Dah! Mbowe amekufanya Nini wewe adi kumchukia ivo